Leo Agosti Mosi, Yassin Mustapha amesaini dili jipya la kuitumikia Yanga akitokea Polisi Tanzania iliyokuwa ikinolewa chini ya Malale Hamisi. Yassin Mustapha anakuwa ni wa tatu kutambulishwa rasmi ndani ya kikosi …
polisi Tanzania
-
-
Nahodha msaidizi na beki wa kulia wa klabu ya Yanga ,Juma Abdul ameupongeza uongozi wa timu hiyo katika harakati zake za kutaka kuwasajili Relliants Lusajo ambaye ni mshambuliaji wa Namungo …
-
Klabu ya Azam fc imeendelea na harakati zake za kuboresha kikosi chake kwa kusajili baadhi ya nyota wa ligi kuu nchini kimya kimya. Inadaiwa tayari klabu hiyo imeshamalizana na beki …
-
Yanga imejitoa rasmi katika mbio za kuwania ubingwa wa ligi kuu Tanzania bara baada ya kukubali sare ya tatu mfululizo mbele ya Polisi Tanzania katika mchezo uliofanyika mjini Moshi katika …
-
Golikipa aliyewahi kuichezea Simba Sc na Singida United Peter Manyika ameaminika mbele ya uongozi wa Polisi Tanzania kuwa atafanya vizuri katika mechi za ligi kuu bara na mashindano ya kombe …
-
Kocha wa timu ya Polisi Tanzania Selemani Matola anaelekea kujiunga na timu ya Simba sc baada ya kuomba kuvunja mkataba na timu hiyo ambayo makao makuu yake yako mkoani Kilimanjaro …
-
Mchezaji wa zamani wa klabu ya Mbao Fc na Yanga sc Pius Buswita amejiunga na timu ya Polisi Tanzania baada ya kuwa nje kwa nusu msimu tangu atemwe na Yanga. …
-
Mshambuliaji wa timu ya Polisi Tanzania Ditram Nchimbi ameongezwa katika kikosi cha wachezaji walioitwa na kocha Ettiene Ndayiragije kujiunga na kambi ya Taifa stars inayojiandaa na mchezo dhidi ya Rwanda …