Mbappe na Rodygo Waiokoa Real Madrid
Mbappe na Rodygo Waiokoa Real Madrid: Tathmini ya Viwango vya Wachezaji Katika Ushindi Mgumu Dhidi ya Alaves Katika kile kilichoelezewa kama pambano la kumuokoa kocha wao, Real Madrid walihitaji zaidi ya ufundi wa kawaida ili kuondoka na pointi tatu dhidi ya timu ngumu ya Alaves. Huku shinikizo likimwelemea Xabi Alonso, vijana wake walijikuta wakihitaji msukumo…
