Klabu ya Yanga sc imeachana na mshambuliaji Saido Ntibanzokiza baada ya mkataba wake kufikia ukingoni hivi leo na klabu hiyo kuamua kutoa taarifa rasmi kuhusu kuachana huko. Saido alijiunga na …
Saido Ntibanzokiza
-
-
Taarifa kutoka mkoani Shinyanga zinasema kuwa klabu ya Yanga sc imewatimua kambini mastaa wake Saido Ntibanzokiza na Dickson Ambundo kwa kosa la kuondoka kambini bila kufuata utaratibu uliowekwa na klabu …
-
Pamoja na kwamba amebakisha chini ya siku arobaini amalize mkataba wake na klabu ya Yanga sc mchezaji Saido Ntibanzokiza ataukosa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Namungo Fc kutokana na …
-
Mkataba wa kiungo mshambuliaji wa klabu ya Yanga sc Saido Ntibanzokiza umebakisha siku 39 kutamatika huku klabu hiyo ikiwa bado na mechi kadhaa za ligi kuu kabla ya msimu kuisha. …
-
Jana mashabiki wa klabu ya Yanga sc waliendeleza utamaduni wao wa kuwapokea mastaa wa timu hiyo wakimpokea mshambuliaji Saido Ntibanzokiza akitokea nchini Burundi kuja kujiunga na timu hiyo baada ya …
-
Mshambuliaji Saido Ntibanzokiza aliyesajiliwa na Yanga sc kwa usajili wa dirisha dogo anatarajiwa kuwasili nchini muda wowote kuanzia sasa huku akiwa ameandaliwa mapokezi kabambe unaambiwa. Inadaiwa klabu hiyo imeandaa utaratibu …
-
Staa mpya wa klabu ya Yanga sc Saido Ntibanzokiza ameendelea kudhihirisha ubora wake baada ya kuisaidia timu ya Taifa ya Burundi kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Mauritania …