saido

Saido,Bocco Bye Bye Simba Sc

Baada ya kutangaza kuachana na John Bocco,Klabu ya Simba sc imeendelea kuachana na mastaa mbalimbali waliomaliza mikataba klabuni hapo ambapo leo hii imetangaza kuachana na Saido Ntibanzokiza ambaye mkataba wake umemalizika klabuni hapo. Simba sc baada ya kukosa ubingwa wa ligi kuu nchini kwa miaka mitatu mfululizo sasa imeamua kufumua kikosi chote sambamba na utawala…

Soma Zaidi
saido

Saido Aaga Simba sc

Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Simba sc Saido Ntibanzokiza ameaga mastaa wenzake klabuni hapo baada ya mkataba wake kumalizika msimu huu huku kila upande ukiwa hauonyeshi nia hasa ya kufungua mazungumzo ya kuongeza mkataba mpya. Saido alijiunga na Simba sc dirisha dogo la mwezi januari msimu uliopita kwa mkataba wa mwaka mmoja na nusu ambapo…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks