Ronaldo Apiga Bicycle Kick na Miaka 40
Ufundi Uliozidi Umri: Ronaldo Apiga Bicycle Kick na Miaka 40 Kuongoza Al-Nassr Kwenye Ushindi Mnono Jumatano ya kihistoria katika Uwanja wa Al-Awwal Park jijini Riyadh ilishuhudia tukio ambalo linathibitisha kwa mara nyingine kwamba umri ni namba tu kwa gwiji wa soka, Cristiano Ronaldo. Katika ushindi wa magoli 4-1 wa Al-Nassr dhidi ya Al-Khaleej, tukio la…
