Winga wa zamani wa klabu ya Yanga sc na Singida Big Stars Deus Kaseke amejiunga na klabu ya Pamba Jiji Fc kwa mkataba wa miezi sita akiwa kama mchezaji huru. …
Tabora United
-
-
Klabu ya Azam Fc imekubali kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa Tabora United katika mchezo wa ligi kuu ya soka ya Nbc uliofanyika katika uwanja wa Al Hassan Mwinyi mkoani …
-
Unaweza kuwa msimu wa maajabu kwa klabu ya Tabora United kutokana na kuendelea kukusanya alama katika michezo yake ya ligi kuu baada ya kuifunga Kmc ikiwa nyumbani kwa mabao 2-0 …
-
Ni ubabe kwa kwenda mbele ndio ulitawala katika mchezo wa ligi kuu ya Nbc nchini baina ya Tabora United dhidi ya Singida Black Stars uliofanyika katika uwanja wa Ali Hassan …
-
Hali imekua tete kwa klabu ya Pamba Jiji baada ya jioni ya leo kukubali kipigo cha 1-0 dhidi ya Tabora United katika mchezo wa ligi kuu ya Nbc nchini uliofanyika …
-
Klabu ya Tabora United imeibuka na ushindi wa magoli 2-1 dhidi ya Namungo mchezo wa ligi kuu ya NBC uliochezwa leo Agosti 25,2024 katika uwanja wa Majaliwa ulioko wilaya ya …
-
Klabu ya Tabora United imemtambulisha rasmi kocha mpya, Denis Laurent Goavec raia wa Ufaransa kurithi mikoba ya Goran Copunovic punde tu baada ya makubaliano ya pande mbili kuachana na kocha …
-
Baada ya kutinga katika hatua ya 16 bora michuano ya Kombe la Azam Sports Federatio (ASFC) Timu ya Tabora United kesho itashuka tena Dimbani katika Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi …
-
Klabu ya Simba sc imefanikiwa kuibuka na alama tatu katika mchezo wa ligi kuu nchini dhidi ya Tabora United baada ya kupata ushindi wa mabao 4-0 katika uwanja wa Ali …
-
Klabu ya Kitayosce ambayo zamani Tabora United imefungiwa kusajili Kutokana na kushindwa kumlipa fedha za usajili na baadhi ya mishahara aliyekuwa Mlinzi wao wa kushoto raia wa Ghana Asante Kwasi. …