TRA United: Mabadiliko Yenye Kuleta Tumaini Mpya Katika Soka la Tanzania
Klabu ya Tabora United sasa itatambulika kwa jina jipya – TRA United, baada ya kuuzwa rasmi kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Hatua hii imeibua mjadala mkubwa miongoni mwa mashabiki wa soka nchini, huku wengi wakijiuliza hatma ya kikosi hiki katika Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara. Hata hivyo, ukweli ni kwamba mabadiliko haya yanabeba…
