Thiago Silva kuitwa timu ya taifa Brazil
Thiago Silva kuitwa timu ya taifa Brazil Katika ulimwengu wa soka, umri mara nyingi huonekana kama kikwazo, lakini kwa wachezaji wachache, unakuwa kama divai nzuri, ukitengeneza ladha na thamani zaidi kadri miaka inavyosonga. Mmoja wa wachezaji hawa ni mlinzi wa Brazil, Thiago Silva. Akiwa na umri wa miaka 40, wengi wangetarajiwa kuwa ameondoka kwenye anga…
