Usajili Yanga Sc 2025/2026
Usajili Yanga Sc 2025/2026: Mikakati na Mashine Mpya Zitakazotikisa Afrika Msimu mpya wa 2025/2026 unanukia, na klabu bingwa ya Tanzania, Young Africans Sports Club (Yanga SC), imeweka wazi dhamira yake ya kuendeleza utawala wake wa soka la Bongo na hatimaye kuvuka mipaka ya Afrika. Baada ya msimu wa 2024/2025 wenye mafanikio makubwa kwa kunyakua mataji…
