Home Makala Tuzo Za Mo Kupigwa Stop

Tuzo Za Mo Kupigwa Stop

by Sports Leo
0 comments

Uongozi wa klabu ya Simba umeahirisha ugawaji wa tuzo za Mo kama walivyofanya misimu miwili iliyopita kutokana na muda kutokuwa rafiki kwao.
Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi Simba Sc, Mohamed Dewji ‘Mo’ amekuwa na utaratibu wa kuwapa tuzo wachezaji wa kikosi hicho pamoja na viongozi wa benchi la ufundi katika misimu miwili mfululizo iliyopita kutokana na kutambua mchango wao.
Arnold Kashembe ambaye ni katibu mkuu wa klabu hiyo amesema  kutokana na kipindi kile cha Corona ligi ilivyosimama takribani miezi mitatu, baadhi ya wachezaji walibaki kambini, hivyo kwa sasa wanahitaji kupata mapumziko mafupi kabla ya kuanza msimu mpya, pia wanahitaji kujipanga kwa ajili ya msimu ujao.”

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited