Home Makala Kiungo Yanga Anukia Simba

Kiungo Yanga Anukia Simba

by Sports Leo
0 comments

Kiungo wa zamani wa Yanga Sc Andrey Coutinho, ameibuka na kuwaambia viongozi wa Simba kuwa yupo tayari kurejea nchini kujiunga na timu hiyo kwani  anatamani kuona anapata nafasi nyingine ya kucheza Ligi ya Tanzania ikiwa tu wapo tayari kumpa mkataba.

Straika huyo Mbrazil anayekipiga katika klabu ya Ayutthaya United ya nchini Thailand,aliwahi kuchezea Yanga katika kipindi cha mwaka 2014 hadi 2016 akitokea Taubate SP ya kwao Brazil.

“Sasa hivi nacheza Thailand lakini bado naikumbuka sana Tanzania kwa sababu ilikuwa nchi yangu ya kwanza kucheza soka la kulipwa pia natamani kuona narudi tena kucheza katika timu yoyote lakini zaidi Simba,”alisema Coutinho

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited