Home Makala Molinga Bado Sana Yanga sc

Molinga Bado Sana Yanga sc

by Sports Leo
0 comments

Timu ya Yanga sc itaendelea kukosa huduma ya mshambuliaji wake David Molinga katika michuano ya kimataifa baada ya leseni yake kutowasili kutoka shirikisho la soka barani Afrikac(Caf).

Molinga na Mustapha Selemani ni wachezaji pekee ambao hawajacheza mechi hizo za kimataifa baada ya kutopata leseni zao kutokana na kuchelewa kukamilika kwa usajili wao hivyo majina yao yaliwasilisha mwishoni.

“Wachezaji hao walikosa leseni kwa sababu ITC zao zilichelewa kuwasili na kusababisha kuchelewa kuombewa leseni”alisema Dismas Ten kaimu katibu mkuu wa timu hiyo.

banner

Yanga inakabiliwa na mchezo mgumu wa marejeano utakaofanyika ndola nchini Zambia dhidi ya Zesco baada ya awali kutoa sare ya bao 1-1 hapa jijini Dar es salaam.

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited