Home Makala Mrundi Aipatia Namungo Pointi 3

Mrundi Aipatia Namungo Pointi 3

by Sports Leo
0 comments

Bigirimana Blaise ameweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza kufunga bao kwenye msimu wa pili wa ligi kuu bara ambapo aliiongoza timu yake ya Namungo Fc kuwapa kichapo cha bao 1-0 Coastal Union katika mchezo wao wa kwanza wa ufunguzi wa ligi.

Mrundi huyo alifunga bao hilo la pekee katika uwanja wa Majaliwa,Ruanga mkoani Lindi dakika ya 64 na kuifanya timu yake kunyakua pointi 3 mbele ya Coastal Union.

Msimu uliopita Bigirimana alikuwa kwenye orodha ya 10 bora ya wafungaji bora ambapo alitupia mabao 9 pekee.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited