Home Makala Usajili Wa Kagere Kufungukiwa Na APR

Usajili Wa Kagere Kufungukiwa Na APR

by Sports Leo
0 comments

Uongozi wa APR Fc ya Rwanda upo kstika harakati za kumsajili wa Simba Sc ,Meddie Kagere kwa ajili ya kuitumikia klabu hiyo msimu ujao .

Raisi wa klabu hiyo ,Jack Msemakweli amefanya mawasiliano na wakala wa Kagere ili kuulizia uwezekano wa kuinasa saini ya nyota huyo ambaye amebakiza mwaka mmoja mkataba wake umeguke Simba.

Kagere kwa sasa yupo nchini Rwanda kwa mapumziko yaliyotolewa na serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa ajili ya kupambana na virusi vya Corona.

banner

Kwa upande wa msemaji wa klabu ya APR ,Clever Kazungu alisema kuwa taarifa hizo za rais wa kikosi chake kuzungumza na wakala wa Kagere bado hazijamfikia ila hafikirii kama nyota huyo anaweza kurudi tena kucheza ndani ya Uganda kwani levo aliyofikia ni ya kwenda mbele zaidi na si kurudi nyuma.

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited