Gamondi Anukia Apr Rwanda
Kocha wa zamani wa klabu ya Yanga sc raia wa Argentina mwenye umri wa miaka 58 Miguel Ángel Gamondi ameripotiwa kufanya mazungumzo na APR FC ya nchini Rwanda kwa ajili ya kuinoa klabu hiyo msimu ujao. Ripoti kutoka nchini humo zinasema kuwa tayari makocha 38 wametuma maombi ya kazi katika klabu hiyo baada ya mchakato…
