Home Soka Yanga Kuwavaa Mlandege

Yanga Kuwavaa Mlandege

by Sports Leo
0 comments

Timu ya Yanga sc leo jioni itashuka uwanjani kucheza na timu ya Mlandege ya visiwani Zanzibar katika maandalizi ya kujiandaa na mchezo wa klabu bingwa barani Afrika dhidi ya Mwandege mchezo utakaochezwa visiwani humo.

Yanga imewasili visiwanai humo tangu jana asubuhi ikiwa na takribani mastaa wake wote ikiwemo baadhi ya waliokua na timu ya taifa nchini kenya katika mchezo wa kufuzu michuano ya Chan ambapo Taifa stars ilipita kwa matuta.

Awali katika kombe la shirikisho barani Afrika timu hizo zilikutana na baada ya Yanga kupoteza katika mechi ya kwanza jijini Dar es salaam huku wakilazimishwa suluhu katika mchezo wa pili nchini Botswana na Yanga kuyaaga mashindano.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited