Kiungo wa Shoka Asajiliwa Yanga Sc
Karibu Jangwani Karibu Jangwani, Abdulnassir Mohamed,Umesomeka ujumbe ulioandikwa katika mitandao ya kijamii ya klabu ya Yanga sc wakimtambulisha kiungo huyo kutoka Mlandege Fc ya Zanzibar. Yanga sc imekamilisha usajili wa kiungo huyo wa ulinzi kinda kwa mkataba wa miaka miwili akichukua nafasi ya Jonas Mkude ambaye ametemwa klabuni hapo kutokana na kukosa nafasi ya kucheza….
