Home Soka Yanga Yasaini Kiungo Fundi Wa Alliance

Yanga Yasaini Kiungo Fundi Wa Alliance

by Sports Leo
0 comments

Klabu ya Yanga sc imefanikiwa kumsaini kiungo wa klabu ya Alliance ya Mwanza Balama Mapinduzi kwa mkataba wa miaka mitatu ili kuwasaidia katika msimu ujao wa ligi kuu Tanzania bara pamoja na michuano ya kimataifa.

Kungo huyo fundi amesaini mkataba huo leo na kuzima tetesi za muda mrefu za wanajangwani hao kuwa wanamvizia ili kumsainisha ili kuchukua nafasi ya baadhi ya wachezaji wazawa ambao kocha Mwinyi Zahera ameamua kuwapa mkono.

Mapinduzi ni kiungo wa kisasa mwenye uwezo wa kutengeneza mashambulizi huku akisaidia timu kukaba akichagizwa na unyambulifu wa mwili wake.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited