Dube Atupia Zimbabwe Ikishinda 3-1
Mshambuliaji wa klabu ya Yanga sc Prince Mpumelelo Dube amesaidia nchi yake ya Zimbabwe kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Namibia ikiwa katika kutafuta nafasi ya kufuzu michuano ya mataifa ya Afrika yatakayofanyika mwakani nchini Algeria. Musona ⚽⁵⁰’ ⚽⁶1′ (Penati) Dube ⚽⁸⁹’ Eiseb ⚽⁹⁰’ Katika Mchezo huo mabao ya Zimbabwe yalifungwa na mshambuliaji…
