Mastaa Nigeria Wagomea Afcon 2025
HOFU, sintofahamu na hali ya taharuki imetanda katika kambi ya timu ya taifa ya Nigeria, Super Eagles, baada ya kuripotiwa kuwa wachezaji wa kikosi hicho wamegoma kufanya mazoezi wakidai kutolipwa bonasi zao za ushindi katika mechi kadhaa walizocheza kwenye fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 zinazoendelea nchini Morocco. Taarifa kutoka vyanzo mbalimbali karibu na…
