Mayay Afunguka Ujenzi Uwanja Arusha
Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo, Ally Mayay amesema waandaaji wa fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027; Tanzania, Kenya na Uganda kila nchi itapaswa kuwa na viwanja vitatu na hivyo maandalizi ya kujenga uwanja wa tatu jijini Arusha tayari yameshaanza. Mayay alisema kuwa viwanja vitakavyotumika katika michuano hiyo ni uwanja wa Benjamin Mkapa jijini…
