mamelodi sundowns vs wydad casablanca 20231111220923

Mamelod Sundowns Yatwaa AFL

Klabu ya soka ya Mamelod Sundowns imefanikiwa kuweka rekodi ya kutwaa taji la African Football League ikiwa ni mara ya kwanza michuano hiyo kufanyika baada ya kuifunga Wydad Athletic Club kwa mabao 2-1 katika mchezo wa fainali wa pili uliofanyika nchini Afrika ya kusini. Katika mchezo wa kwanza nchini Morroco Mamelod ilikubali kipigo cha mabao…

Soma Zaidi
393167127 18379804834071034 8524285069001000453 n

Mamilioni ya Samia Yatua AFL

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameahidi kutoa zawadi ya Tsh.10 milioni kwa kila goli ambalo Simba sc  watafunga katika mchezo dhidi ya Al Ahly ambao utachezwa siku ya Ijumaa Oktoba 20, 2023 saa 12:00 jioni katika Uwanja wa Mkapa. Ahadi hiyo ya Rais Samia imetolewa na katibu mkuu…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks