Yanga sc Yapata Hasara 1bn
Klabu ya Yanga sc imepata hasara ya bilioni moja katika msimu uliopita wa 2023/2024 kutokana na mapato yake kutokidhi mahitaji na hivyo kuzidiwa na matumizi ya klabu hiyo kwa ujumla. Akizungumza katika Mkutano mkuu wa klabu hiyo, Mkurugenzi wa Fedha wa Yanga, Sabri Sadick amesema msimu uliopita 2023/24 mapato yalikuwa ni Sh21 bilioni, huku matumizi…
