FB IMG 1747940801995

Manula Mguu Ndani Yanga Sc

Kipa mkongwe Aishi Manula yupo mbioni kujiunga na klabu ya  Yanga Sc kwa ajili ya msimu ujao wa ligi kuu na michuano ya Kimataifa baada ya makubaliano ya pande zote kuanza kufanyika. Manula anasubiri msimu umalizike ili aondoke msimbazi ambapo ameshakosa nafasi ya kucheza huku pia mkataba wake ukielekea mwishoni na mchezaji mwenyewe hana tena…

Soma Zaidi
manula

Manula Abaki Airport Dar

Taarifa mpya kutoka ndani ya klabu ya Simba Sc ni kuwa kipa Aishi Manula amebaki nchini mara baada ya kupata matatizo ya kiafya akiwa katika uwanja wa ndege wa Mwl.Nyerere jijini Dar es Salaam wakati kikosi cha timu hiyo kikipaa kuelekea nchini Algeria kuvaana na klabu ya Fc Constantine katika mchezo wa kombe la Shirikisho…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks