Al Ahly Tripoli Wawasili Nchini
Timu ya Al Ahli Tripoli ya nchini Libya tayari imewasili salama jijini Dar es Salaam kwa mchezo wa marudiano dhidi ya Simba SC mchezo utakaofanyika katika Uwanja wa Benjamin William Mkapa. Klabu hiyo imekuja kwa tahadhari kubwa kutokana na kuhofia usalama wao hapa nchini ambapo baada ya kuwasili wamepokelewa na kampuni binafsi ya mabaunsa ilikulinda…
