Screenshot 20241105 230333 Facebook

Al Hilal Omdurman Yamnyemelea Fadlu

Klabu ya soka ya Al Hilal ya Sudan imependekeza jina la kocha wa Simba Sc raia wa Afrika kusini Fadru Davis kuwa kipaumbele Chao Cha kwanza kukinoa kikosi chao kuanzia msimu ujao. Mabosi wa klabu hiyo wamefikia uamuzi huo baada ya kuwa na uhakika kuwa kocha wao wa sasa Florent Ibenge anatimka kikosini humo mwishoni…

Soma Zaidi
FB IMG 1732198465549

Waarabu Watua Kuivaa Yanga Sc

Kikosi Cha Klabu ya Al Hilal Omdurman ya Sudan tayari kimewasili Tanzania alfajiri ya leo Novemba 20,2024 kwa ajili ya mchezo wa hatua ya makundi dhidi ya Yanga SC utakaochezwa Novemba 26,2024 katika uwanja wa Benjamin mkapa. Msafara wa watu zaidi ya Arobaini umetua mapema asubuhi ya Novemba 20 2024 katika uwanja wa ndege wa…

Soma Zaidi
6201c07b edef 4f2d 8703 fb9614ee0743

Azam Fc Yakomaa na Ibenge

Klabu ya Azam Fc imeanza mazungumzo na kocha wa klabu ya Al Hilal Fc Florent Ibenge ili kuinoa klabu hiyo kuchukua nafasi ya kocha Yousouph Dabo iliyemtimua wiki iliyopita. Azam Fc inaamini Ibenge ni mtu sahihi kuchukua nafasi ya Dabo kutokana na kuwa na wasifu mzito akizifundisha klabu za As Vita,Rs Berkane na kufanikiwa kuzipatia…

Soma Zaidi
Snapinsta.app 438946103 25233315672950342 2935384673858576657 n 1080

Kipa Azam Fc Ahitajika Sudan

Klabu ya Al Hilal ya Sudan inampango wa kumrejesha Kipa wake anayekipiga Kwa mkopo wa nusu msimu ndani ya klabu ya Azam Mohammed Mustafa mwishoni mwa msimu huu kutokana na kuwa na mahitaji naye kwa ajili ya msimu ujao. Kipa huyo alisajiliwa na Azam Fc kwa mkopo kuja kuziba nafasi zilizoachwa wazi na makipa Ali…

Soma Zaidi
Snapinsta.app 417517811 18418406716002320 7278434949044140555 n 1080

Simba Sc,Al Hilal Zamtaka Dube

Klabu za Simba sc na Al Hilal Fc ya Sudan zimeonyesha nia ya kumsajili mshambuliaji Prince Dube wa klabu ya Azam Fc baada ya kutuma ofa katika klabu hiyo ambayo siku za karibuni imeingia katika mgogoro wa kimkataba na mchezaji huyo. Taarifa rasmi iliyotolewa na Azam Fc imeonyesha kuwa klabu hiyo imepokea rasmi ofa kutoka…

Soma Zaidi
Snapinsta.app 375776140 201483979611460 4754181007700624453 n 1080

Mabosi wa Al Hilal Fc ya Sudan wamevutiwa na uwezo wa kiungo mshambuliaji na nahodha wa KMC Awesu Awesu hivyo muda wowote yawezekana mazungumzo ya kumsajili yakaanza ili ajiunge nao katika usajili wa dirisha dogo mwezi ujao. Mabosi hao walikuwepo katika mchezo wa kirafiki baina ya timu hizo uliofanyika katika uwanja wa Baobab na kufanikiwa…

Soma Zaidi
Snapinsta.app 402671057 1014142783189993 1909145228698512940 n 1080

Kmc Kujipima kwa Al Hilal Fc

Wakati kikosi cha Al Hilal Fc kikiwa hapa nchini kujiandaa na michuano ya kimataifa kesho kinatarajiwa kukutana na Kmc Fc kucheza mchezo wa kirafiki utakaofanyika katika uwanja wa Baobab uliopo mjini Bagamoyo. Al Hilal Fc ikiwa chini ya kocha Florent Ibenge imechagua kutumia uwanja wa Benjamin Mkapa kama uwanja wa nyumbani katika michuano ya kombe…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks