baleke

Baleke Atua Libya

Klabu ya TP Mazembe imemtoa tena kwa mkopo mshambuliaji Jean Baleke kwenda kucheza katika klabu ya Al Ittihad ya nchini Libya baada ya kuachana na klabu ya Simba sc wakati wa usajili wa dirisha dogo msimu huu. Baleke tayari amemalizana na kuagwa Simba baada ya muda wake wa mkopo kuisha na sasa atakuwa akikiwasha katika…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks