Yanga SC Tupo Tayari: Pedro Gonçalves Aweka Mikakati Mizito Dhidi ya Al Ahly
Kocha Mkuu wa Young Africans SC, Pedro Soares Gonçalves, ameweka wazi kuwa kikosi chake kipo tayari kwa mtihani mkubwa dhidi ya mabingwa wa Afrika, Al Ahly, katika mchezo wa kesho Januari 31, 2026. Akizungumza mbele ya waandishi wa habari, Pedro amesisitiza kuwa mechi hiyo itakuwa na nyakati tofauti za mchezo zinazohitaji umakini wa hali ya…
