Lebo: Angola
Morocco yaichapa Angola 2-0 CHAN 2024
Morocco yaichapa Angola 2-0 CHAN 2024: Mwanzo Bora kwa Mabingwa Watetezi Katika ufunguzi wa kundi A wa michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN) 2024, timu ya taifa ya Morocco, maarufu kama Simba wa Atlas, imeonyesha ufundi na umwamba wao kwa kuichapa timu ya Angola (Palancas Negras) kwa mabao 2-0….
