“Tutawafunga Al Ahly”-Arafat
Makamu mwenyekiti wa klabu ya Yanga sc Arafat Haji amesema kuwa klabu hiyo itawafunga timu ya Al Ahly watakapokutana katika mechi za makundi ya michuano ya klabu bingwa barani Afrika kuanzia mwezi novemba mwaka huu. Yanga sc ipo kundi moja la D na Al Ahly,Medeama Cr Belouzdad ambapo mchezo wa kwanza utazikutanisha Yanga sc dhidi…
