Niyonzima Arejea As Kigali
Kiungo mshambuliaji wa zamani wa klabu za Simba sc na Yanga sc Haruna Niyonzima amerejea katika klabu ya As Kigali kama mchezaji huru kwa mara ya tangu tangu alipofanya hivyo mwaka 2019 na 2022. Kiungo huyo Fundi raia wa Rwanda alicheza nchini katika klabu ya Yanga sc kwa miaka takribani nane kisha akajiunga na Simba…
