587356040 18539847337052678 3903360173159057902 n

Azam Fc Yakubali Kipigo Caf

Azam FC wameanza kwa mtikisiko safari yao ya hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) baada ya kukumbana na kipigo cha mabao 2-0 kutoka kwa AS Maniema Union kwenye Uwanja wa Stade des Martyrs, Kinshasa,Licha ya matarajio na matumaini waliyokuwa nayo kabla ya mchezo, kikosi cha Chamazi kilionekana kulegalega katika maeneo muhimu na…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks