Yanga Sc Kumtambulisha Guede Rasmi
Mabosi wa klabu ya Yanga sc wamepanga kumtambulisha mshambuliaji mpya wa klabu hiyo Joseph Guede katika mchezo wa kombe la shirikisho jioni ya leo Januari 30 itakapokutana na timu ya Hausing Fc ya Njombe katika mchezo wa kiporo wa kufuzu hatua ya 32 ya michuani ya Azam Sports Confederations Cup katika uwanja wa Chamazi. Yanga…
