“Nitawafunga”Asisitiza Ateba
Mshambuliaji wa klabu ya Simba Sc Lionel Ateba ameahidi kuwapa furaha mashabiki wa klabu hiyo kuelekea mchezo wa ligi kuu ya Nbc nchini dhidi ya Klabu ya Yanga sc utakaofanyika Oktoba 19 jijini Dar es Salaam. Ateba ameahidi kuwa siku hiyo lazima atafunga bao licha ya kuwa atakabwa na mabeki wazuri wakiongozwa na Ibrahim Hamad…
