Kipa Simba sc Matatani
Kipa mpya wa klabu ya Simba sc Ayoub Lakred ni kama yuko matatani kufuatia mabosi wa klabu hiyo kuanza kufanya tathmini ya kiwango chake hasa baada ya kurejea kwa kipa Aishi Manula kikosini humo. Mabosi wa klabu hiyo walikua na matumaini makubwa na kipa huyo wa zamani wa Far Rabat mabingwa wa ligi kuu nchini…
