IMG 20250623 WA0041

Kinda Aizamisha Wydad Ac World Cup

Kinda wa kituruki Kenan Yildiz alifunga mabao mawili ambapo akiongoza Juventus ikipata ushindi wa 4-1 dhidi ya Wydad Casablanca ya Morocco katika Kombe la Dunia la Klabu (Club World Cup) Jumapili hii  kuifanya klabu hiyo kukaribia kufuzu kwenye raundi ya 16. Timu hiyo ya Italia iko kwenye nafasi ya kwanza ya Kundi G kwa alama…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks