Yanga Sc Yaipiga 5 Polisi Tanzania
Klabu ya Yanga sc imeendelea kusimamisha mnara wa mabao matano baada ya kuibamiza Polisi Tanzania kwa mabao 5-0 katika mchezo wa kombe la shirikisho la Azam Sports hatua ya 32 bora uliofanyika katika uwanja wa Chamazi jijini Dar es salaam. Ikianza mchezo bila mastaa wake Maxi Nzengeli,Djigui Diarra,Dickson Job,Ibrahim Hamad,Yao Kouassi,Pacome Zouzou ambao walikua jukwaani,Klabu…
