FB IMG 1744794533305

Aziz Ki Kutimka Yanga Sc

Uongozi wa Klabu ya Yanga Sc umethibitisha kwamba kiungo mshambuliaji wao, Stephine Aziz Ki atajiunga na klabu ya Wydad Casablanca baada ya klabu hiyo kumalizana na Yanga sc kwa dau ambalo halijawekwa wazi.Wydad Athletic Club ambao wanashiriki michuano ya klabu bingwa duniani kwa upande wa vilabu kuanzia mwezi juni tayari wameanza maboresho ya kikosi chao…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks