Bacca Afungiwa Ligi Kuu
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi Kuu Tanzania Bara maarufu kama Kamati ya Saa 72 imemfungia mchezaji wa Klabu ya Yanga SC, Ibrahim Hamad Bacca, kutoshiriki michezo mitano ya Ligi Kuu Bara kufuatia rafu mbaya aliyomchezea mchezaji wa Mbeya City, Ibrahim Ame. Tukio hilo lilitokea katika mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya…
