FwZjp mXwAAnQyw

Bajana,Ndoye Kutibiwa Afrika Kusini

Klabu ya Azam Fc imetangaza kuwa mastaa wake wawili Sospeter Bajana na Malickou Ndoye wataondoka kwenda nchini Afrika ya kusini kwa ajili ya matibabu ya nyonga katika hospitali ya Vicent Palloti iliyopo jijini Cape Town nchini humo. Mastaa hao walimia kwa nykati tofauti tofauti katika michezo ya ligi kuu ambapo baada ya tathmini ya kina…

Soma Zaidi
383000784 18387642481052678 9079305350807604314 n

Bajana Mambo Magumu Azam Fc

Kiungo wa Azam Fc Sospeter Bajana amekua na wakati mgumu klabu hapo baada ya kutovaa kitambaa cha unahodha katika michezo ya hivi karibuni huku akianzia benchi mara kadhaa kutokana na kutopangwa na kocha Yousouph Dabo. Kwenye michezo ya hivi karibuni mambo yamekuwa tofauti kidogo kwenye eneo la unahodha wa Azam FC,Mchezo dhidi ya Singida Big…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks