Serikali Yaongeza Kodi Kwenye Mikeka
Serikali imeongeza kiwango cha kodi kwa washindi wa michezo ya kubashiri (Betting) kwenye bajeti ya serikali kuu iliyosomwa jana bungeni ili kuongeza mapato kwa serikali. Waziri wa Fedha Dkt.Mwigulu Nchemba amesema kuwa Ongezeko la kiwango hicho cha fedha kitakachopatikana, asilimia 70 itaenda katika mfuko wa serikali kupambana na Ukimwi na asilimia 30 kuchangia mfuko wa…
