Simba Sc Yatuma Ofa kwa Mwamnyeto
Klabu ya Simba Sc imetuma ofa ya kumsajili beki Bakari Nondo Mwamnyeto kwa menejimenti ya mchezaji huyo baada ya kumaliza mkataba wake na klabu ya Yanga sc ambayo nayo imeonyesha nia ya kuendelea nae. Mwamnyeto ambaye mkataba wake unamalizika juni 30 mwaka huu yuko huru kuzungumza na klabu yeyote huku Yanga sc ikiwa imeshaanza mazungumzo…
