Screenshot 20250124 114147 Instagram

Baleke Kutua Afrika Kusini

Klabu ya Amazulu imeanza mazungumzo na TP Mazembe ili kuinasa saini ya mshambuliaji,Jean Baleke ambaye alikuwa akiitumikia klabu ya Yanga sc kwa mkopo wa mwaka mzima kabla ya mkataba huo kusitishwa. Amazulu wamehamia kwa Baleke baada ya kuikosa saini ya Frank Ssebufu raia wa Uganda ambaye alikuwa akiitumikia New York Redbull II ya MLS. Inaelezwa…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks