Screenshot 20250317 134746 Instagram

Banda Kuvuna Mamilioni Richard Bay

Beki Mtanzania Abdi Banda anajiandaa kupokea Mamilioni kutoka katika Klabu ya Richard Bay inayoshiriki ligi kuu nchini Afrika ya kusini baada ya kushinda kesi yake dhidi ya klabu hiyo. Banda alifungua kesi katika Shirikisho la Soka Duniani (Fifa) kupitia combo chake maalumu cha kusimamia malalamiko ya mikataba kwa wachezaji ambapo iliamuriwa klabu hiyo imlipe Staa…

Soma Zaidi
Bandaa

Kmc Yamsajili Banda

Klabu ya Kmc Fc imefanikiwa kuinasa saini ya winga Peter Banda raia wa Malawi na kuizidi kete klabu ya Singida Fountain Gate Fc ambayo ilianza mazungumzo na staa huyo mapema tangu mwishoni mwa mwaka jana. Banda ametua Kmc baada ya Singida Fg kuchelewa kukamilisha dili hilo huku kifungo cha kuzuiwa kusajili na Fifa pamoja na…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks