Basena Atimuliwa Ihefu Fc
Klabu ya Ihefu Fc imeachana na kocha raia wa Uganda Moses Basena kutokana na kuwa na mfululizo wa matokeo mabaya klabuni hapo tangu ajiunge nayo akichukua nafasi ya Zubeiry Katwila aliachana na timu hiyo na kujiunga na Mtibwa Sugar. Basena amedumu kikosini humo kwa siku hamsini pekee huku akipata sare na vipigo pekee katika michezo…
