Okrah Afunguka Kurejea
Winga wa klabu ya Yanga sc Augustine Okrah amefunguka kuhusu kurejea klabuni hapo baada ya kutoka katika majeraha ambayo aliyapata wakati wa kombe la Mapinduzi Visiwani Zanzibar mapema mwaka huu. Okrah aliumia siku ya mchezo wake wa kwanza klabuni hapo baada ya kugongana na mchezaji wa timu pinzania na kuumia mfupa wa pua hali iliyomlazimu…
