Benchika Akalia Kuti Kavu Simba sc
Baadhi ya mabosi wa klabu ya Simba sc wameanza kumtolea macho kocha Abdelhack Benchika kutokana na mfululizo wa matokeo mabovu ambapo timu hiyo imecheza jumla ya michezo mitano mfululizo bila kupata ushindi. Mabosi hao wameanza kuwa na wasiwasi na mbinu za kocha huyo pamoja na uchaguzi wa kikosi kutokana na kukosa ushindi huku wakikubali kipigo…
