Masaka Afunguka Tuzo Bmt
Nyota wa Twiga Stars na Brighton & Hoves ya England, Aisha Masaka ametoa neno la shukrani baada ya kushinda tuzo ya mwanamichezo bora wa kike mwaka 2024, katika usiku wa tuzo za Baraza la michezo la Taifa uliofanyika Jumapili Juni Mosi 2025. Masaka ambaye ni mara yake ya kwanza kushinda tuzo hiyo, ametoa ushauri kwa…
