Screenshot 20250609 154452 Instagram

Yanga Sc Yakomaa na Bodi ya Ligi

Klabu ya Yanga Sc imethibitisha leo kushiriki kikao maalumu na bodi ya ligi kuu Tanzania kwa ajili ya kujadili masuala yahusuyo mchezo namba 184 wa ligi kuu ya Nbc dhidi ya Simba kilichofanyika katika ofisi za bodi ya ligi jijini Dar es Salaam. Taarifa ya leo Juni 9, 2025 iliyotolewa na kamati ya utendaji ya…

Soma Zaidi
490406737 1176172944310021 3175988526450891558 n

Henry Sasii Afungiwa Miezi 6

Mwamuzi Hery Sasii amefungiwa miezi sita kufuatia kushindwa kumudu mchezo wa #Ligi kuu ya Nbc nchini kati ya Simba dhidi ya Singida Black stars kwa kufanya maamuzi mengi yaliyoashiria kushindwa kutafsiri sheria 17 za mpira wa miguu. Sasii ambaye ni miongoni mwa waamuzi wachache wenye beji ya Fifa amefungiwa na kamati maalumu ya kusimamia bodi…

Soma Zaidi
FB IMG 1744222266659

Mukwala Atwaa Tuzo Machi 2025

Mshambuliaji wa klabu ya Simba sc Stephen Desse Mukwala amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa ligi kuu ya Nbc kwa mwezi machi akiwashinda Ellie Mpanzu na Pascal Msindo wa klabu ya Azam Fc ambao aliingia nao Fainali. Kamati ya Tuzo iliyochini ya bodi ya ligi kuu ilimchagua Mukwala kutokana na kuonyesha kiwango kizuri akifunga mabao manne…

Soma Zaidi
Lameck Lawi

Lawi Hatihati Ubelgiji

Taarifa kutoka nchini Ubelgiji zinadai kuwa staa wa klabu ya Coastal Union Lameck Lawi yuko mbioni kurejea nchini baada ya kufeli majaribio katika klabu ya K.A.A Gent inayoshiriki ligi kuu nchini humo. Awali Taarifa zilisema kuwa Lawi ambaye aligomewa kujiunga na Simba sc na Uongozi wa klabu hiyo kwa kuwa anadili nchini humo la kusajiliwa…

Soma Zaidi
Snapinsta.app 399099249 353105617208651 4309990757830102855 n 1080

Aziz Ki Atwaa Tuzo Oktoba

Bodi ya ligi kuu nchini imemtangaza kiungo mshambuliaji wa klabu ya Yanga sc Stephane Aziz Ki kuwa mchezaji bora wa mwezi Oktoba wa ligi kuu nchini akiwashinda Moses Phiri wa Simba sc na Maxi Nzengeli wa Yanga sc. Ki ametwaa tuzo hiyo inayodhaminiwa na Azam Tv ambapo kwa mwezi huo wa oktoba amefanikiwa kufunga jumla…

Soma Zaidi
Snapinsta.app 317221288 714232533421234 898042126449064826 n 1080

Kmc Yatawala Tuzo Septemba

Kocha AbdulHamid Moallin pamoja na mchezaji Waziri Junior wamefanikiwa kuchukua tuzo za kocha bora na mchezaji bora wa mwezi septemba kutoka na taarifa iliyotolewa na bodi ya ligi kuu nchini. Waziri amefanikiwa kutwaa tuzo hiyo  akiwashinda Jean Baleke wa Simba na John Nakibinge wa Tabora United alioingia nao fainali. Moalin amefanikiwa kuchukua tuzo hiyo akiwazidi…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks