mwakinyo

Mwakinyo Afungiwa Mwaka 1

Bondia wa ngumi za kulipwa nchini Tanzania Hassan Mwakinyo amefungiwa mwaka mmoja kushiriki mapambano mbalimbali ya ngumi ndani na nje ya nchi kutokana na kosa la kususia pambano dhidi ya Julius Idongo siku ya Septemba 29. Akitoa taarifa hiyo kwa vyombo vya habari Katibu Mkuu wa Shirikisho la Ngumi Tanzania (TPBRC) George Lukindo amesema kuwa…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks